Viongozi wa Matawi waitwa Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2020
Viongozi wa Matawi waitwa Dar

Uongozi wa klabu ya Yanga umeitisha Mkutano na viongozi wa Matawi ya klabu hiyo jijini Dar es salaam

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya klabu ya Yanga mapema leo, Mkutano huo utafanyika Makao Makuu Yanga kesho Jumamosi, Februari 15 kuanzia saa nne asubuhi

Mkutano huo ni maalum kwa ajili ya kujadili mustakabali wa ushiriki wa Yanga raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom pamoja na robo fainali ya kombe la Shirikisho (ASFC)

Pamoja na kukabiliwa na michezo ya ligi, mwishoni mwa mwezi huu Yanga itacheza na Gwambina Fc katika mchezo wa kusaka nafasi ya kutinga robo fainali kombe la Azam

Yanga imeweka mkakati wa kuhakikisha inafanya vizuri kwenye michuano yote lengo likiwa kushinda taji mojawapo au yote ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’