Ukarabati Jangwani unaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2020
Ukarabati Jangwani unaendelea

Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM wameendelea kuboresha Makao Makuu ya klabu hiyo yaliyoko Mtaa wa Twiga na Jangwani ikiwa ni moja ya makubaliano ya kimkataba

Yanga inakusudia kuanza kulitumia jengo hilo kwa ajili ya matumizi ya hostel za wachezaji

Jengo hilo lina vyumba 28 ambavyo vinaweza kutumika kwa ajili ya kambi ya wachezaji kupunguza gharama ya kwenda kuweka kambi katika Mahoteli

Pia GSM wanatarajiwa kujenga duka kubwa kwa ajili ya kuuza bidhaa mbalimbali za klabu ya Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’