Mchezo wa kwanza uliozikutanisha Yanga dhidi ya Polisi Tanzania ulimalizika kwa sare ya mabao 3-3
Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Uhuru, uliwashuhudia Ditram Nchimbi na David Molinga wakiibuka mashujaa
Molinga ndiye aliyefunga mabao mawili kati ya matatu ya Yanga wakati Nchimbi aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trik msimu huu

Wawili hao leo wako pamoja kwenye kikosi cha Yanga wakipewa kazi maalum na kocha Luc Eymael
Molinga na Nchimbi wameonyesha uelewano mkubwa wanapocheza pamoja
Bila shaka leo wanaweza kuwa chachu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga kwenye mchezo huo
ADVERTISE HERE