Mwandila aachana na Buildcon Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2020
Mwandila aachana na Buildcon Fc

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ameachana na klabu ya Buildcon Fc inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia

Mwandila alijiunga na Buildcon muda mfupi baada ya Yanga kulifuta kazi benchi lote la ufundi mwezi Novemba 2019

Inaelezwa Buildcon ilimchukua Mwandila kuwa kocha msaidizi huku wakiwa na mpango wa kumchukua kocha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu

Hata hivyo mpango wa kumnasa Zahera ulikwama baada ya Mcongomani huyo kugoma kujiunga nao katikati ya msimu

Taarifa iliyotolewa na Buildcon mapema jana imebainisha kuwa mkataba wake umevunjwa baada ya pande zote kufikia makubaliano

Mwandila alitua Yanga kama mtaalam viungo mwishoni mwa mwaka 2016 akiletwa na George Lwandamina aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga wakati huo

Msimu uliopita na mwanzoni mwa msimu huu alifanya kazi na Mwinyi Zahera akiwa kocha msaidizi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’