Zahera akana uzushi wa kurejea Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2020
Zahera akana uzushi wa kurejea Yanga

Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amekana tetesi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazomuhusisha kurejea Yanga

Zahera aliyeweka makazi yake nchini, amesema hakuwasiliana na kiongozi yeyote wa Yanga kuhusu jambo hilo

Mcongomani huyo amesema walioanzisha uvumi huo wana lengo la kumgombanisha na waajiri wake hao wa zamani

"Sio kweli, sijazungumza na kiongozi yeyote wa Yanga.. wanaandika Yanga wameniita tujadiliane ni waongo hakuna jambo hilo, amesema"

"Wanaoandika uongo huo hawana nia nzuri na mimi pamoja na klabu ya Yanga, nawaambia waache kufanya hivyo"

Tangu mkataba wake uvunjwe mwezi Novemba 2019, Zahera ameendelea kubaki nchini ambapo amebainisha kuwa licha ya kupokea ofa kutoka klabu kadhaa, bado hajafanya maamuzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
53m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’