Yanga hatuna wasiwasi, tukutane uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2017
Yanga hatuna wasiwasi, tukutane uwanja wa Uhuru
Licha ya kutokuwa na majina mengi makubwa, kikosi cha Yanga kimesheheni vijana wenye vipaji hilo halina ubishi.

Mchezo wa leo dhidi ya Simba mda mchache ujao Yanga italithibitisha hilo.

Upande wa pili msimu huu wamekuwa na kelele nyingi sana na hivyo ndivyo wanavyopambana na hali yao.

Hawajachukua ubingwa kwa miaka mitano sasa, sherehe zao kubwa pekee ni kucheza na Yanga pamoja na lile bonanza lao la kila mwaka.

Sisi kama mabingwa watetezi, hatuna wasiwasi tunawasubiri pale uwanja wa uhuru tuweze kuwaharibia siku.

Kikosi cha Yanga ni kipana sana tena wakati huu, mchezaji yeyote atakayepewa nafasi na kocha Lwandamina naamini hatatuangusha.

Muhimu kwa wale ambao wamepata tiketi ni kuwahi mapema uwanjani kuishangilia timu kwa nguvu hasa ikizingatiwa sisi ndiyo wenyeji wa mchezo huo.

Yanga imepewa nafasi ya mashabiki 12,000 wakati Simba wamepewa nafasi 10,000
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’