Happy BirthDay Hafidh Saleh

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2020
Happy BirthDay Hafidh Saleh

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Meneja wa zamani wa Yanga, Hafidh Saleh

Pamoja na kuwa sasa hana uongozi ndani ya Yanga, Hafidh ni Mwanayanga aliyejitolea kwa hali na mali kuitumikia Yanga katika nyakati za raha na shida

Pengine ndio Meneja wa timu aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa muda mrefu ikiwa ni zaidi ya miaka saba

Wanayanga tunathamini mchango wake na tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

Happy BirthDay Hafidh Saleh..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
53m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’