Thabani Kamusoko ameshindwa kuwa tayari kuikabili Simba leo licha ya jitihada zilizofanywa na uongozi kuhakikisha anakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Kamusoko amewatakia kila la kheri wapambanaji wetu watakaopewa jukumu la kuiwakilisha Yanga leo na Kocha George Lwandamina.
"Kila la kheri chama langu. Kila mchezaji hutamani kucheza mchezo wa aina hii lakini imekuwa bahati mbaya kwa upande wangu kwani bado naendelea kupona majeraha."
"Nitarejea na nguvu mpya," amefunguka Kamusoko.

ADVERTISE HERE