Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha mabadiliko ya uwanja utakaotumika kesho kwenye mchezo wa raundi ya tano kombe la FA dhidi ya Gwambina Fc
Mchezo huo umehamishiwa uwanja wa Uhuru kutoka uwanja wa Taifa ambao ulipangwa awali
Mabadiliko hayo yametokana na uwanja wa Taifa kufungwa kwa ajili ya matengenezo
Mchezo huo utapigwa saa kumi Alasiri
ADVERTISE HERE