FT : Yanga 1-0 Gwambina Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2020
FT : Yanga 1-0 Gwambina Fc

Yanga imefanikiwa kutinga robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuichapa Gwambina Fc bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Bao pekee la Yanga lilifungwa na Haruna Niyonzima akiachia kombora kali kutoka umbali wa mita zaidi ya 20

Kocha Luc Eymael leo alilazimika kumtumia mkongwe Kelvin Yondani kama kiungo mkabaji baada ya nahodha Papy Tshishimbi kukosekana akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano

Pengine kukosekana kwa Tshishimbi kulipunguza kasi ya Yanga kwenye umiliki wa mpira na kuwapa Gwambina nafasi ya kutawala mchezo kwa vipindi tofauti

Hata hivyo Yanga leo ilihtaji ushindi zaidi hivyo hata mbinu za mchezo zilibadilika wakati mwingine wakitumia mipira mirefu kuharakisha mashambulizi

Ni matokeo ambayo yameipeleka Yanga robo fainali ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’