Password ya ushindi kaanza nayo Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Feb 2020
Password ya ushindi kaanza nayo Niyonzima

Goli alilofunga Haruna Niyonzima juzi kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Gwambina Fc, ni miongoni mwa mabao bora yaliyofungwa msimu huu

Mnyarwanda huyo aliifungia Yanga bao pekee la ushindi kwa shuti kali akiwa nje ya 18

Mtangazaji na mchambuzi mahiri wa soka nchini maarufu Mwalimu Kashasha alisema kasi ya mpira uliopigwa na Niyonzima ni makadirio ya mwendokasi wa kilomita 103 kwa saa!

Ni bao ambalo lilikuwa na maana kubwa mbili kwa Yanga;

Mosi, liliipeleka Yanga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la FA. Ikumbukwe Yanga imeweka nguvu zake zote kwenye michuano hiyo baada ya mwenendo mbaya waliopata kwenye ligi michezo ya hivi karibuni

Pili Yanga, ilihitaji kushinda mechi hiyo baada ya kukosa ushindi katika mechi nne mfululizo. Wachezaji walikuwa kwenye presha kubwa lakini baada ya Niyonzima kufunga,walitulia

Unaweza kusema ule msemo aliokuja nao msemaji wa zamani wa Yanga Jerry Muro kuwa ameleta password ya ushindi, password hiyo juzi alikabidhiwa Niyonzima

Kesho Jumamosi Yanga itacheza na Alliance Fc kwenye mchezo wa ligi kuu. Nani atabeba password ya ushindi? Tusubiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’