Yanga yapania 'kuivuruga' Alliance Fc uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Feb 2020
Yanga yapania 'kuivuruga' Alliance Fc uwanja wa Taifa

Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa Taifa kuikabili Alliance Fc katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom

Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru, ulihamishiwa uwanja wa Taifa baada ya Yanga kuwasilisha malalamiko TFF kutokana na mazingira yasiyo rafiki ya uwanja wa Uhuru ambayo yanaweza kuhatarisha afya za wachezaji hasa kwa kipindi hiki cha joto kali jijini Dar es salaam

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa moja jioni

Ni mchezo ambao Yanga inahitaji matokeo ya ushindi ili kuendelea kusogea juu kwenye msimamo wa ligi

Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuiunga mkono timu yao wamedhamiria kuwarejesha nyumbani wakiwa na nyuso za furaha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
51m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’