Mabadiliko madogo viinglio, Yanga vs Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2020
Mabadiliko madogo viinglio, Yanga vs Simba

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania limefanya mabadiliko ya viingilio katika mchezo wa Kariakoo Derby (Yanga sc vs Simba sc)

Jukwaa la VVIP litakuwa na mualiko maalumu, kwahiyo kwa atakayehitaji kukaa Jukwaa hilo awasiliane na TFF

Viingilio vingine ni:

VIP A - Tsh 30,000/-

VIP B na C - Tsh 20,000 badala ya Tsh 15,000 iliyotangazwa hapo awali

Viti vya Orange itakuwa shilingi 10,000/- na Mzunguko itakuwa ni shilingi 7,000/-

Mchezo utapigwa tarehe 8 Machi (Jumapili) katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, muda ni saa 11 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’