Jezi za Morrison zinauzwa kama njugu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Mar 2020
Jezi za Morrison zinauzwa kama njugu

Mashabiki wa Yanga wameendelea kuchangamkia ofa ya bei punguzo mauzo ya jezi daraja B ambazo zinauzwa Tsh 20,000/- kuelekea mchezo dhidi ya Simba hapo kesho

Lakini pia kuna jezi maalum namba 33 ambayo hutumiwa na mshambuliaji Bernard Morrison. Jezi hiyo imesainiwa na Morrison mwenyewe, inapatikana kwa Tsh 50,000/- pale Makao Makuu ya klabu ya Yanga

Nakala zaidi ya 100 ziliuzwa jana na leo zoezi hilo linaendelea pale pale Jangwani

Morrison ndio habari ya mjini kwa sasa, haishangazi kuona mashabiki wanachangamkia dili hiyo ili kubaki na kumbukumbu ya jezi aliyoisaini yeye mwenyewe

Jezi za wachezaji wengine pia zinapatikana hapohapo Makao Makuu ya klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
24m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’