Kuelekea mchezo dhidi ya Simba mpaka kufikia jana jioni zaidi ya tiketi 25,000 zimeuzwa ikiwa ni nusu ya tiketi zote zinazopaswa kuuzwa
Mashabiki wa Yanga wamechangamkia kwa wingi tiketi na bila shaka kesho watafurika kwa wing uwanja wa Taifa
Kwa wale ambao hawana tiketi mpaka sasa, watalazimika kuchangamka mapema asubuhi kwani kuna uwezekano mkubwa mpaka kufikia saa tano asubuhi tiketi zitakuwa zimemalizika
Mchezo utapigwa saa 11 njioni, kwenye uwanja wa Taifa
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad
ADVERTISE HERE