Morrison hakuna wa kufanana nae Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2020
Morrison hakuna wa kufanana nae Tanzania

Kabla ya mchezo dhidi ya Simba leo wapo waliomlinganisha Bernard Morrison na mshambuliaji wa Simba Luis Miquissone

Lakini baada ya mchezo Morrison amedhihirisha kuwa yeye ni 'baba lao'

Dakika zake 56 alizocheza alikuwa na mchango mkubwa kwani aliichachafya kwelikweli safu ya ulinzi ya Simba pamoja na kufunga bao

Kocha Luc Eymael alimtoa baada ya kuona wachezaji wa Simba wamemkamia huku wakimfanyia matukio ambayo pengine yangeweza kumtoa mchezoni

Morrrison amefunga mjadala kibabe wa nani mkali kati yake na Miquissone

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’