Mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao ulipigwa jana kwenye uwanja wa Taifa, umeingiza zaidi ya Tsh Milioni 545
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi, mchezo huo ulishuhudiwa na watazamaji 59, 325

ADVERTISE HERE