Chama amuomba msamaha Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2020
Chama amuomba msamaha Fei Toto

Kiungo wa Simba Clatous Chama amemuomba radhi kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto' kufuatia tukio la kumkanyaga makusudi kwenye mchezo baina ya timu hizo uliopigwa uwanja wa Taifa Jumapili ya March 08

Chama amethibitisha kuwa aliongea na Feisal na akamuomba radhi mapema leo lakini pia akatumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kuomba radhi mbele ya mashabiki ambao wengi wamekerwa na tukio hilo alilofanya ambalo halikuwa la kiungwana

"Bro Feisal najua tumeongea leo lakini naomba nikuombe radhi tena mbele ya mashabiki wa mpira"

"Mpira ni burudani na sio uadui. Forgive me bro!," ameandika Chama kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kuomba radhi ni kutambua kosa na kulijutia hivyo bila shaka Fei Toto pamoja na mashabiki wa Yanga, wadau wa soka wamemsamehe

Hata hivyo huenda akakabiliwa na hatua za kinidhamu kutoka kwa shirikisho la Mpira nchini (TFF)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’