Happy BirthDay Ditram Nchimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2020
Happy BirthDay Ditram Nchimbi

Tarehe kama ya leo alizaliwa mshambuliaji hatari wa Yanga Ditram Nchimbi

Nchimbi maarufu kama 'duma', juzi alikuwemo kwenye kikosi cha Yanga kilichoibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani zao Simba

Hakuna shaka siku hiyo walinzi wa Simba walilala na viatu kwani mateso waliyopata kutoka kwake hayakuwa madogo

Ni mshambuliaji mwenye kasi, nguvu na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY DITRAM NCHIMBI...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’