Tshishimbi ashukuru, apongeza sapoti ya mashabiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2020
Tshishimbi ashukuru, apongeza sapoti ya mashabiki

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi amewashukuru mashabiki wa Yanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao ulipigwa juzi kwenye uwanja wa Taifa

Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo liliwekwa kimiani na Bernard Morrison kwa mpira wa adhabu

Tshishimbi amesema sapoti ya mashabiki kwenye mchezo huo iliwapa nguvu ya kupambana zaidi ambapo amewataka mashabiki waendeleze utamaduni huo wa kuwa pamoja na timu

"Asanteni sana mashabiki kwa sapoti yenu na kuwa pamoja na sisi tumepata mafanikio mazuri tuendelee kuwa pamoja na kushirikiana," amesema Tshishimbi

Juzi Tshishimbi aliliongoza vyema jeshi la Yanga wakifanikiwa kuiteka safu ya kiungo akishirikiana na mafundi wa mpira Haruna Niyonzima, Feisal Salum na Mapinduzi Balama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’