Nyota saba Yanga wajumuishwa kikosi cha Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2020
Nyota saba Yanga wajumuishwa kikosi cha Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Etienne Ndayiragije leo ametangaza majina ya wachezaji 35 watakaounda kikosi cha awali cha timu hiyo kitakachocheza mchezo dhidi ya Tunisia baadae mwezi huu na fainali za michuano ya CHAN inayoshirikisha wachezaji wa ndani ambayo itafanyika mwezi ujao nchini Cameroon

Nyota saba wa Yanga wamejumuishwa kwenye kikosi hicho kilichotangazwa leo

Wachezaji hao ni Metacha Mnata, Juma Abdul, Kelvin Yondani, Said Juma, Mapinduzi Balama, Feisal Salum na Ditram Nchimbi

Timu inatarajiwa kuingia kambini keshokutwa March 12 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
43m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’