Burudani inaendelea uwanja wa Taifa Alhamisi, KMC vs Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2020
Burudani inaendelea uwanja wa Taifa Alhamisi, KMC vs Yanga

Kikosi cha Yanga kesho Alhamisi kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Baada ya ushindi dhidi ya Simba, vijana hawakulaza damu, waliendelea na mazoezi kuelekea mchezo huo dhidi ya watoto wa Kinondoni

Matokeo ya mchezo wa duru ya kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1, KMC wakisawazisha kwenye dakika za majeruhi kupitia mkwaju wa penati

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema amewaandaa vijana wake kikamilifu ili kuhakikisha wanaendeleza wimbi la ushindi kwenye michezo yote iliyobaki

Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea mkoani LIndi kuikabili Namungo Fc ukiwa ni mchezo wa kiporo wa duru ya kwanza

Mchezo huo utapigwa March 15

Habari njema ni kuwa Yanga itashiriki michezo yote ikiwa na nyota wake saba walioitwa timu ya Taifa

Pamoja na Stars kuingia kambini kesho, wachezaji wa Yanga wataingia kambini baada ya mchezo dhidi ya Namungo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’