Wachezaji Yanga wamejaa 'mapesa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2020
Wachezaji Yanga wamejaa 'mapesa'

Habari njema ni kuwa wachezaji wa Yanga tayari wamepata mgao wao wa Tsh Milioni 200 walizoahidiwa baada ya kuifunga Simba

Kulikuwa na maswali mengi kuhusu kuchelewa kwa mgao huo ambapo Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli alilazimika kutoa ufafanuzi wa mchakato wa fedha hizo

Bumbuli alisema utaratibu wa utolewaji wa fedha hizo ni tofauti na utaratibu waliokuwa wakiutumia kutoa Tsh Milioni 10 papo kwa hapo

"Milioni 200 ni fedha nyingi haziwezi kuwa na utaratibu sawa na Tsh Milioni 10. Kuna mambo tunapaswa kuyaweka sawa kabla ya kuwapa wachezaji mgao wao," alisema

Ahadi ya Tsh Milioni 200 ilitolewa na wadhamini wa Yanga kampuni ya GSM, ikiwa ni hamasa kwa wachezaji ili waweze kushinda mchezo dhidi ya Simba

Wachezaji walipambana kupata ushindi wa bao 1-0, ushindi huo uliwapa furaha mashabiki wao ambao hawakuwa wameshangilia ushindi dhidi ya Simba tangu mwaka 2016

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’