Maambukizi ya kwanza ya Corona yabainika Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2020
Maambukizi ya kwanza ya Corona yabainika Tanzania

Waziri wa Afya, Mh Ummy Mwalimu amethibitisha kuwapo kwa mgonjwa wa kwanza wa Corona nchini Tanzania.

Mgonjwa huyo mwanamke (46) ambaye jina lake halijawekwa hadharani, aliwasili nchini akitokea Ubelgiji kwa Ndege ya Shirika la ndege la Rwanda katika Uwanja wa KIA, Machi 15 mwaka huu.

Mwanamke huyo alifanyiwa uchunguzi katika uwanjani hapo na kuonekana kutokuwa na homa lakini baadaye alijisikia vibaya na kwenda Hospitali ya Mt.Meru na kuchukuliwa vipimo vilivyothibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID -19.

Kwa mujibu wa Ummy mwanamke huyo anaendelea na matibabu

Tahadhari imetolewa kwa wananchi kujihadhari na ugonjwa huo hatari

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’