Makapu afichua Yondani alivyohusika kumuimarisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2020
Makapu afichua Yondani alivyohusika kumuimarisha

Kiraka Said Juma Makapu amesema mkongwe Kelvin Yondani amekuwa na mchango mkubwa kumfanya awe mlinzi bora na sasa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

March 08 Makapu aliwashangaza wengi baada ya kupangwa kwenye kikosi cha kwanza kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao wengi walitegemea Yondani angeanza na Lamine Moro

Katika mchezo huo, Makapu alicheza vizuri kwani alifanikiwa kuwadhibiti washambuliaji vinara wa Simba John Bocco na Meddie Kagere

Makapu amefichua kabla ya mchezo huo Yondani alimpa mbinu za kuweza kuwadhibiti washambuliaji hao pamoja na kumtaka ahakikishe anatumia vyema nafasi ya kuaminiwa aliyopewa na kocha Luc Eymael

"Yondani aliniambia ile ilikuwa siku muhimu kwangu, nisitishwe na majina ya wachezaji wa Simba nihakikishe natumia vyema nafasi hiyo niliyopewa na kocha. Na hata baada ya mchezo, Yondani alinifuata na kunipongeza kuwa nimecheza vizuri," alisema Makapu

"Nimekuwa nikijituma kuhakikisha nafanya vizru lakini nimekuwa nikiwaangalia Yondani na Moro wanapocheza pamoja nami kujifunza mambo kadhaa kutoka kwao"

Makapu amekuwa na kiwango bora tangu aliporudishwa safu ya ulinzi wa kati na sasa amepata nafasi ya kujumuishwa kikosi cha timu ya Taifa na kocha Etienne Ndayiragije

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’