Huyu Ajib kazaliwa upya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2017
Huyu Ajib kazaliwa upya Yanga
Wakati wakiendelea kulalamika kuonewa, sisi tunaendelea kufurahia na kupongeza kiwango bora kinachoonyeshwa na kikosi chetu.

Kiungo James Kotei ni mmoja wa wachezaji walioonja shubiri ya kukutana na Ibrahim Ajib aliyezaliwa upya Yanga.



Huyu bwana hatalisahau pambano la juzi kwani adhabu aliyokuwa akiipata kutoka kwa Ajib na viungo wa Yanga wakiongozwa Tshishimbi, ilimfanya aonekane si lolote!

Hivi sasa nasikia mashabiki wa Simba hawataki hata kusikia jina lake!

Wasilolijua mashabiki hao ni kwamba sio kosa lake, bali alikutana na wachezaji wenye uwezo mkubwa zaidi yake!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’