Chini ya GSM, maisha ya mastaa wa Yanga yamekuwa sio ya mashaka tena kwani wanapata kila wanachotaka
Kwa takribani miezi mitatu Yanga ilikuwa imejichimbia Hotel ya kitalii ya Regency Park wakiwa wameweka kambi kujiandaa na mechi mbalimbali za ligi
Hoteli hiyo iko barabara ya Mwai Kibaki Mikocheni jijini Dar es salaam
Ni hapo hapo maandalizi ya kipigo cha Simba yaliandaliwa na ni hapohapo timu itaendelea kujichimbia pale ligi itakaporejea baada ya kutulia kwa changamoto ya mlipuko wa Corona

ADVERTISE HERE