Mabadiliko iwe ajenda ya kila Mwanayanga

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
25 Mar 2020
Mabadiliko iwe ajenda ya kila Mwanayanga

Haya yanayotokea leo yasingetokea kama GSM wangekuwa wadhamini kamili wa klabu ya Yanga

Wanachama wa Yanga wanapaswa kusimama kidete kuhakikisha timu inabadili mfumo wake wa uendeshaji haraka ili kuondokana na changamoto hizi

Suala la mabadiliko limekuwa likipigwa danadana na viongozi lakini mwerevu unaweza kubaini kwa nini mchakato huo unachukua mda mrefu

Hawa GSM wameonyesha utayari lakini wanaamua kujiweka pembeni kwa ajili tu kuna viongozi wanaona maslahi yao yanaguswa

Lakini hao hao viongozi timu ikishindwa kulipa mishahara ya wachezaji hawawezi kutoa hata senti kulipa

GSM wamebainisha wazi kuwa walikuwa wakijitolea kulipia gharama nyingi za uendeshaji wa timu kutokana na mapenzi yao

Lakini wapo waliokuwa hawafurahii, walichotaka wao ni fedha zipelekwe mikononi mwao kisha wazipangie matumizi!

Kwa hakika Wanayanga wataendelea kulia kwa miaka mingi kama mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji hayatatokea

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’