Nakala ya barua ya GSM kwenda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2020
Nakala ya barua ya GSM kwenda Yanga

Taarifa ya huzuni waliyoamka nayo Wanayanga leo ni kujiondoa kwa wadhamini wao kampuni ya GSM katika kuihudumia timu baada ya kukwazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa klabu ya Yanga kuwa wanaingilia majukumu yao

GSM wamesema wasitisha huduma zote walizokuwa wakijitolea kuisaidia Yanga na sasa wanabaki na jukumu lao la kimkataba ambalo ni kutengeneza na kusambaza jezi za Yanga

Hii hapa barua halisi waliyoandika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’