Baada ya sakata la GSM kumalizika, uongozi wa Yanga huenda ukawageukia Wajumbe waliopelekea mtafaruko huo
Juzi GSM walitangaza kujiondoa baada ya baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji kudai GSM wanaingilia majukumu ya kiutawala ambayo hayawahusu
Wajumbe wanne ambao wamedaiwa kuhusika na mtafaruko huo huenda wakajikuta kikaangoni
Shukrani za kipekee zimuendee Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde kwa kujitosa kumaliza sintofahamu hiyo
Mavunde ameendelea kuwa msaada kwa klabu ya Yanga hasa kwa zile nyakati ambazo timu inakabiliwa na changamoto
ADVERTISE HERE