Tutawachinjia hapohapo Namfua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2017
Tutawachinjia hapohapo Namfua
Pichani juu ni wachezaji wa Singida United wakijifua kwenye uwanja wao wa Namfua ambao utatumika kwenye mchezo dhidi ya Yanga kwa mara ya kwanza tangu ufanyiwe ukarabati.

Yanga inatarajiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja huo kesho (Ijumaa) jioni kuelekea mpambano wa timu hizo Jumamosi, Novemba 04.

Baada ya ukarabati sehemu ya kuchezea (pitch) ya uwanja wa Namfua inavutia na bila shaka hapo utapigwa mpira wa kiwango kutoka kwa kila timu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’