Viongozi wa matawi Yanga waja na msimamo kwa wasaliti

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Mar 2020
Viongozi wa matawi Yanga waja na msimamo kwa wasaliti

Viogozi wa Matawi ya Yanga jijini Dar es Salaam wamemtaka Mwenyekiti Dk Mshindo Msolwa kuhakikisha anawachukulia hatua viongozi wa kamati ya utendaji waliosababisha GSM wajiondoe kabla ya mwafaka kupatikana na kuridhia kurudi

Juzi GSM walitangaza kujiondoa kuisaidia Yanga kwa masuala waliyokuwa wakifanya ambayo yako nje ya mkataba wao

Mratibu wa matawi ya klabu hiyo, Kais Edwine alisema wao wapo pamoja na GSM hivyo DK Msolwa awachukulie hatua wahusika haraka iwezakanavyo.

Kais alisema matawi hayatakubali kuona mtu au kundi la watu wanamuhujumu GSM kwa maslahi yao binafsi.

"Hao viongozi waliofanya hivyo kama wao wanaona namna gani waondoke Yanga ila wamuache GSM anayejitolea kwa mapenzi ya dhati"

Aidha wamemtaka Dk Msolwa asipochukua hatua basi wao watashinikiza mkutano wa dharura ili wakafanye uamuzi ya kuwaondoa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’