Ajib agawa laki nne kwa wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2017
Ajib agawa laki nne kwa wachezaji Yanga
Jana Ibrahim Ajib alionyesha upendo kwa wachezaji wenzake wa Yanga pale alipowagawia shilingi laki nne kutoka ile Milioni moja aliyozawadiwa baada ya kuibuka mchezaji bora katika michezo dhidi ya Kagera Sugar na Stand United.

Ajib alikabidhiwa shilingi milioni moja na Kundi la Whatsapp la Yanga For Life linaoundwa na baadhi ya wasanii wa filamu nchini kiongozi wake akiwa Vicent Kigosi 'Ray'.

Ajib aliwagawia wenzake fedha hizo baada ya kumaliza mazoezi jana jioni.

Yanga iko mkoani Singida ikitarajiwa kuchuana na wenyeji Singida United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa tisa.

Mchezo huo utapigwa Novemba 04 kwenye dimba la namfua.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’