Sure Boy ndani ya rada za Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2020
Sure Boy ndani ya rada za Yanga

Inaelezwa kiungo wa Azam Fc Salum Abubakar 'Sure Boy' ni miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na klabu ya Yanga kwa ajili ya kuitumikia msimu ujao

Nyota huyo aliyedumu Azam Fc kwa muda mrefu, ni miongoni mwa wachezaji waliopendekezwa na kocha Luc Eymael

Sure Boy amekuwa kwenye kiwango bora kwa muda mrefu na mara kwa mara amekuwa akihusishwa na Yanga

Wapo wanaodai kuwa nyota huyo ana mapenzi na Yanga kwa kufuata historia ya baba yake Abubakar Salum (Sure Boy Orijino) aliyetamba na Yanga miaka ya nyuma

Ni miongoni mwa wachezaji bora zaidi kwenye nafasi ya kiungo kwa sasa hapa Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
53m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’