Rais wa TFF, Jamal Malinzi, katibu wa TFF, Mwesigwa Celestine na Nsiana wamesomewa mashtaka 28 katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashitaka hayo ni pamoja na Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa.
Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee.
Pia lipo shitaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375,418 ambalo linawahusu Malinzi, Mwesigwa na Nsiana.
Kutokana baadhi ya makosa yanayowakabili kutokuwa na dhamana, washitakiwa wote wamepelekwa rumande hadi Julai 03 kesi yao itakapotajwa tena.
Malinzi na Kaburu watakosa sifa ya kushiriki uchaguzi wa TFF utakaofanyia Agosti 12 kwani watashindwa kuhudhuria zoezi la usaili wa wagombea linalomalizika keshokutwa.

ADVERTISE HERE