Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi
Winga huyu mwenye kasi ya kimbunga, amekuwa na wakati mgumu kurejea dimbani kutokana na majeraha makubwa ya goti aliyopata mwaka 2018
Ni hivi karibuni ameanza mazoezi mepesi akiwa na matumaini ya kurejea dimbani baada ya changamoto ya janga la Corona kupita
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY MAHADHI...!
ADVERTISE HERE