Ngasa ajifua 'kivyake-vyake' Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2020
Ngasa ajifua 'kivyake-vyake' Mwanza

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa yuko jijini Mwanza akijifua lakini pia akichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya Corona

Mkongwe huyo mwenye historia ya pekee kunako klabu ya Yanga, amesema anaendelea na mazoezi binafsi ili kujiweka fit

Amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona

"Kwa sasa niko Mwanza, pamoja na masuala mengine yaliyonileta, naendelea kufuata program ya mazoezi niliyoachiwa na Mwalimu. Ni vyema kila mmoja wetu akaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ili maisha yarudi kama zamani," amesema

Ngasa ni mmoja wa wachezaji ambao mikataba yao inaelekea ukingoni ndani ya kikosi cha Yanga

Bado mazungumzo ya mkataba mpya hayajaanza, lakini upo uwezekano mwamba huyo wa ziwa Victoria akaongezwa mwaka mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’