Yanga yafuata pacha wa Lamine Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2020
Yanga yafuata pacha wa Lamine Kenya

Vyombo vya habari huko Kenya vimeripoti kuwa Yanga imeanza mazungumzo na mlinzi wa kati wa Harambee Stars Mussa Mohammed ili kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria mwishoni mwa msimu

Beki huyo kisiki anaichezea klabu ya Nkana Fc akiwa nahodha wa timu hiyo ya nchini Zambia

Taarifa za nyota huyo kuwaniwa na Yanga zilianza kuzagaa nchini juzi

Kocha Mkuu wa Yanga Lu Eymael amependekeza usajili wa walinzi wa tatiu, ambapo wawili ni wa pembeni na mmoja ni wa kati

Ni katika jitihada za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya kuwania ubingwa msimu ujao

Yanga pia inahusishwa na winga Mkenya Harrison Mwendwa anayekipiga klabu ya Kariobangi Sharks

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’