Taarifa ya Serikali kuhusu mwenendo wa maambukizi ya corona

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2020
Taarifa ya Serikali kuhusu mwenendo wa maambukizi ya corona

Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Mh Ummy Mwalimu imebainisha uwepo wa ongezeko la wagonjwa walioambukizwa virusi vya COVID-19

Taarifa hiyo imebainisha kuwa wagonjwa 14 wamebainika kuambukizwa virusi hivyo na hivyo kufanya idadi ya maambukizi kote nchini kufikia 46

Serikali imewataka wananchi waendelee kuchukua tahadhari kujikinga na ugonjwa huo ambao ni janga la dunia nzima

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’