Shule zote kuendelea kufungwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2020
Shule zote kuendelea kufungwa

Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa shule za Awali, Msingi, Sekondari na vyuo vyote nchini litaendelea kubaki vilevile hadi hapo Serikali itakapotoa tamko jingine

Pia Waziri Mkuu amesema Rais Dk John Magufuli amesitisha maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi(April 26) pamoja na sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ili kuepuka msongamano na kuendelea kuzuia virusi vya corona visisambae zaidi

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Jumanne, April 14 2020 katika kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya virusi vya COVID-19

Amesema hadi leo nchini kuna jumla ya watu 53 ambao wameambukizwa corona ikiwa ni ongezeko la wagonjwa wanne ambao wote wako jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’