FIFA yasitisha mechi zote za Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Apr 2020
FIFA yasitisha mechi zote za Kimataifa

Shirikisho la soka la Dunia FIFA limefuta mechi zote za timu za Taifa zilizopangwa kufanyika mwaka huu kutokana na janga la Corona,

Makamu Wa Rais Wa shirikisho hilo Victor Montagliani ambaye ndiye anayeshughulikia athari za Covid-19 katika soka amesema ni ngumu sana kufikiria kuchezwa mechi katika hali iliyopo.

Takribani mwezi mmoja sasa umepita tangu kusimamishwa kwa michezo mbalimbali kutokana na janga la Covid-19

Jana Serikali ya Tanzania ilitangaza kuendeleza katazo lake la kusitisha shughuli zote zenye miikusanyiko mpaka pale litakapotolewa tamko jingine

Taarifa hiyo iliyotolewa na Waziri Mkuu, pia ilitangaza amri ya kuendelea kufungwa kwa shule zote nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’