Wachezaji Yanga wanaendelea kufurahia matunda ya GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2020
Wachezaji Yanga wanaendelea kufurahia matunda ya GSM

Nyota wa klabu ya Yanga leo wameendelea kufanya manunuzi kwenye maduka ya wadhamini wao kampuni ya GSM jijini Dar es salaam

Baadhi ya wachezaji ambao walikosa zoezi hilo jana, leo walipata nafasi yao kufanya manunuzi katika duka la Antasports, linalomilikiwa na GSM ambalo liko Mlimani City

Nyota hao waliongozana na Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’