Kila mchezaji anapambana kivyake - Abdul

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2020
Kila mchezaji anapambana kivyake - Abdul

Nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul amesema wao kama wachezaji wamekuwa wakikumbushana umuhimu wa kufanya mazoezi wakati ambao ligi imesimama kutokana na janga la corona

Amesema kila mchezaji anafahamu umuhimu wa kuwa kwenye kikosi cha kwanza hivyo suala la mazoezi ni jambo la lazima kwa kila mchezaji

"Kwa namna ambavyo huwa tunaambiana ukweli na kukumbushana majukumu yetu kama wachezaji kwa Kipindi hiki Cha Corona Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa Kuwa kwenye kikosi cha kwanza na kuipambania nafasi yake kwenye timu"

"Sidhani kama yupo mchezaji atakaekubali kukaa bila mazoezi binafsi huku majumbani kwetu tulipo," amesema Abdul

Bado hatma ya kurejea mikiki mikiki ya ligi kuu haifahamiki kutokana na janga la corona kuendelea kushika kasi nchini huku Serikali ikiweka mikakati ya kudhibiti maambukizi zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’