Ninyonzima awapa 'tano' GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2020
Ninyonzima awapa 'tano' GSM

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amewapongeza wadhamini wao kampuni ya GSM kwa kuwapa fursa ya kufanya manunuzi ya vifaa vya michezo katika maduka yao yaliyopo Mlimani City jijini Dar es salaam

Wachezaji wote wa Yanga walipewa vocha maalum ambazo wanaweza kuzitumia kujipatia bidhaa ambazo gharama yake inafikia laki sita

"Shukran sana kwa Wadhamini wetu GSM Tanzania kupitia Anta Sports kwa shopping nzuri ya vifaa vizuri na vya kiwango cha juu mnoo vya mazoezi. Tunashukuru..!," ameandika Niyonzia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Tangu juzi nyota wa Yanga wanapishana huko Mlimani City kujipatia bidhaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’