Ligi bado mbichi - Ajib

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2017
Ligi bado mbichi - Ajib
Mshambuliaji kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga Ibrahim Ajib amesema Yanga bado ina nafasi ya kufanya vizuri licha ya matokeo ya sare mbili mfululizo.

Yanga tayari imerjea jijini Dar es salaam kutoka Singida ambako juzi ililazimisha suluhu ya 0-0 dhid ya wenyeji Singida United.

Ajib amesema matokeo hayo hawayafurahii pia.

"Mashabiki watulie na waendelee kutuunga mkono ili tuweze kufanya vizuri kwenye mechi zijazo kwa sababu haya matokeo hata sisi hatuyafurahii," amefunguka Ajib

"Matokeo yetu dhidi ya Singida ni sehemu ya mchezo, tulijitahidi sana kuhakikisha tunapata ushindi lakini haikuwa hivyo kwa sababu na wenzetu nao walijipanga, kikubwa ifahamike wazi kwamba, ligi bado mbichi."

Yanga itashuka tena dimbani Novemba 19 kuumana na Mbeya City ikiwa ni mchezo wa mzunguuko wa 10.

Kwa sasa itawakosa baadhi ya wachezaji ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Bennin.

Wachezaji hao ni Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Raphael Daudi na Ibrahim Ajib.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’