Morrison akumbuka shangwe la Mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2020
Morrison akumbuka shangwe la Mashabiki Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema jambo muhimu kwa mashabiki wa soka nchini ni kuendelea kujilinda na corona huku wakimuomba Mungu aweze kuliondoa janga hilo ili maisha yarudi kama zamani

Morrison raia wa Ghana aliyetua Yanga mwezi Januari kwenye usajili wa dirisha dogo, ameeleza kuzikumbuka shamrashamra za mashabiki wa Yanga

Morrison amekiri kuwa Yanga ni klabu yenye mashabiki wenye upendo na 'wazimu' wa soka

"Kwa kweli natamani ugonjwa huu umalizike tuweze kurejea uwanjani kuwapa furaha mashabiki wetu. Nimekumbuka sana ukarimu, shangwe lao kila mara tuliposhuka uwanjani," amesema

"Muhimu kwa kila mmoja wetu aendelee kumuomba Mungu maisha ya kawaida yarejee baada ya hili janga na turudi kufanya kazi ili mashabiki na wapenda soka wafurahie"

Morrison amejitengenezea heshima ya kipekee katika soka la Tanzania kwa muda mfupi kutokana na umahiri wake

Lakini pia tukio la kuwatungua Simba March 08 limemfanya kuwa mchezaji maarufu na anayezungumzwa zaidi na mashabiki wakati huu ambao ligi zimesimama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
27m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’