DRFA yaomboleza kifo cha Dk Tamba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
1 May 2020
DRFA yaomboleza kifo cha Dk Tamba

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam (DRFA) kimeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mdau wake mkubwa  Dk Maneno Tamba kilichotokea leo

Taarifa iliyotolewa na DRFA, imebainisha kuwa Dr. Tamba alikuwa mdau mkubwa katika kuimarisha soka la Wanawake nchini

"Tunaamini mbinu na busara zake katika kuendeleza mchezo huo zilihitajika kwa miaka mingi zaidi lakini hatuwezi kupingana na mipango ya Mungu"

"Poleni sana wanafamilia ya Dr. Tamba na wadau wa soka nchini. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu"

Aidha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) nalo limetuma salamu za rambirambi kufuatia msiba huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →