Tuendelee kuchukua tahadhari, tujilinde na corona - Abdul

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2020
Tuendelee kuchukua tahadhari, tujilinde na corona - Abdul

Nahodha Msaidizi wa Yanga Juma Abdul amesema ni vyema Watanzania wote kuendekea kuchukua tahadhari kwa kufuata maelekezo yote yanayotolewa na Wataalamu wa Afya ili kujilinda na ugonjwa wa Corona

Abdul amesema corona imeleta taharuki na kusababisha huzuni kwa watu wengi duniani hivyo ni vyema kuchukua tahadhari

"Nachukua nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuchukua tahadhari juu ya gonjwa hili la covid-19"

"Kama hauna safari ya msingi inakupasa kutulia nyumba pia kuepuka misongamano isiyo na ulazima

"Pia Tukumbuke kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka au kisafisha mikono(sanitizer). Nasisitiza tuchukue tahadhari kujikinga na kuwakinga tuwapendao (Watanzania wote ,marafiki, ndugu na jamaa), corona ipo na inauwa"

Ugonjwa huu umepelekea shughuli zote za michezo kusitishwa duniani kote huku baadhi ya nchi zikichukua hatua ya kumaliza misimu ya ligi ya kuchezwa mechi zilizosalia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’