Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa bado wanaendelea na michakato ya ndani kuelekea kwenye kurejea kwa ligi
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa bado hatma ya kurejea kwa mashindano yote itategemea uamuzi wa Serikali ambao utaelekeza muda mwafaka wa kurejea kwa mashindano yote
TFF imewataka Wanachama wake kuendelea kutekeleza agizo la awali la kuepuka mikusanyiko

ADVERTISE HERE