Nyota Yanga wanaendelea kujimwambafai na GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2020
Nyota Yanga wanaendelea kujimwambafai na GSM

Wachezaji wa Yanga wanaendelea kumiminika Mlimani City kwenye maduka ya GSM kujipatia mahitaji yao ya vifaa vya michezo

Leo Wazanzibar Feisal Salum, Adeyum Saleh na Said Juma Makapu walifika Mlimani City kutumia vocha zao zenye thamani ya Tsh laki sita ambazo wachezaji wote wa Yanga walipewa

Wachezaji hao walikosa awamu ya kwanza ya 'shopping' ambayo ilifanywa na nyota wengine wiki zilizopita

Habari njema ni kuwa kila mchezaji anayo vocha yake ambayo anaweza kuitumia wakati wowote anaoona unafaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’